MAMBO YANAYOPELEKEA UCHUMBA KUVUNJIKA KABLA YA NDOA
????????????????????????
Anaandika Mh Faida H. Potea
❤❌ KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA.
Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja hupelekea mtu kushindwa kujitoa kikamilifu kwa mtu aliyenaye, na badala yake huishia kupapasa kwa kila mtu hali inayomfanya...