Kasomi
JT Founder
MAMBO YANAYOPELEKEA UCHUMBA KUVUNJIKA KABLA YA NDOA
????????????????????????
Anaandika Mh Faida H. Potea
❤
KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA.
Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja hupelekea mtu kushindwa kujitoa kikamilifu kwa mtu aliyenaye, na badala yake huishia kupapasa kwa kila mtu hali inayomfanya kuhatarisha hatima yake ya Kimahusiano.
Wengi sasa huwa na Wapenzi zaidi ya mmoja kwa njia ya kujiwekea ULINZI, kuwa akiteleza hapa basi awe na sehemu nyingine ya kujishikia, Lakini haya ni mapenzi ya ujanja ujanja ambayo mara nyingi hayaleti matokeo CHANYA.
❤
CHATTING NA MA EX.
Pindi Unapokuwa kwenye uhusiano mpya kuwa makini sana na mahusiano yako ya Nyuma. Usiruhusu jana yako iharibu kesho yako. Hekima inahitajika sana hapa.
Ni kweli kuachana ni jambo la kawaida Katika maisha na haina maana watu muwe maadui Baada ya kuachana, Lakini ukaribu mliokuwa nao awali unapswa kupungua na badala yake ukaribu huo uuamishie kwa huyo uliyenaye sasa.
Huwezi kuendelea kuhifadhi picha za Ex wako kwenye simu yako, Texts zake za kipindi hicho mpaka Leo haujazifuta, Siku haishi bila kuwasiliana naye, mara sijui umekula?
Sasa hivi unafanya nini?
Nimekumic. Mmh, hapa hata kama huyo uliyenaye sasa ni Malaika hataweza KUVUMILIA mambo hayo.
Weka mipaka na ma Ex wako, Mpe heshima huyo uliyenaye sasa.
❤
TAMAA
Tamaa ya Pesa kwa mabinti imekuwa ni Mtego mkubwa sana kwa sasa. Wanawake wengi wameshindwa kutofautisha kati ya mapenzi na Pesa.
Ni kweli kuna uhusiano mkubwa kati ya mapenzi na Pesa, Lakini si kila palipo na Pesa kuna mapenzi ingawa mapenzi yalipo Pesa itahitajika kama sehemu ya mapenzi hayo.
Wengi hudanganywa na watu wanaonekana sasa wana CASH ambao wengi wao sio Waoaji na Kuwaacha wale wenye VISION ambao ni waoaji.
Kwa Wanaume, Tamaa ya Ngono hupelekea kutamani wasichana kila kukicha hali inayowacheleweshea kuoa na Wakati mwingine kuwapotosha macho yao kushindwa kuona ni wanawake gani hasa wenye kustahiri kuolewa na badala yake kuangukia kwa wakina Delila watakao ua kabisa maono yao.
"Kuridhika ni SILAHA kubwa Katika Mapenzi "
❤
KUSHIRIKI NGONO KABLA YA NDOA.
Chakula ni Kizuri kabla haujakila na Hamasa hupungua /huisha Baada ya Kushiba, Mwanamke ni mzuri na huvutia kabla ya Ngono.
Baada ya mwanaume kufungua Sketi yako na kuona Utupu wako thamani yako kwake hupungua na kubaki wa kawaida.
Baada ya Kushiba kuna umuhimu gani kuingia jikoni kupika? Baada ya mwanaume kujiridhisha haja zake za Mwili kuna haraka gani ya yeye Kuoa? Kama huduma ya ndoa anaipata hata nje ya ndoa.
Ndio maana sasa kuna wanaume wengi wamepunguza SHAUKU ya Kuoa kwa sababu ya Uongezeko la Ngono kwa wachumba.
Psychology ya mwanaume na mwanamke Katika tendo la ndoa ni tofauti, wanawake wengi upendo huongezeka Baada ya tendo la Ndoa wakati kwa wanaume upendo hupungua.
. ❤
MAISHA YA NDOA KABLA YA NDOA.
Maisha ya wachumba kuishi pamoja, kupika, kulala pamoja na kufanyiana huduma zote ambazo zinapaswa kufanyika wakati wa ndoa ni Kikwazo cha wengi kushindwa kufikia Ndoa.
Maisha haya hufanya watu kuzoeana mapema kujiona wanandoa nje ya Ndoa. Na mwisho ni kujihararishia ndoa yao binafsi kwa kuishi kabisa bila kufuata utaratibu.
Mahari inatolewa Baada ya kuzaa au mwanamke kupata mimba na mwisho huenda kubariki Ndoa. Kitu ambacho ni NJE kabisa ya utaratibu wa Mungu.
"Kila jambo lina wakati wake " Acha Papara Subiri wakati UFIKE.
????????????????????????
.... ITAENDELEA.......
NAOMBA NIISHIE HAPA KWA LEO. TUONANE KATIKA SEHEMU YA PILI.????????