MICHEZO Rais wa klabu ya Barcelona, Joan Laporta amethibitisha kuwa winga wao Lamine Yamal atavaa jezi namba 10 kuanzia msimu wa 2025-2026 baada ya kumuongezea mkataba wa kuendelea kusalia katika klabu hiyo hadi 2031.
Yamal ambaye ametimiza umri wa miaka 18 Julai 13 2025 anarithi jezi hiyo...