Chadema ishawekwa kapuni na Tundu lisu ameshapiigwa Dana dana kwa muda mrefu ili kuyaua makali ya kuzuia uchaguzi,ghafla bin vuu Mpina anashinda kesi yake na kuwa huru kugombea urais!
Sasa ni rasmi Kuna vita inanukia kati ya mwanamke mzanzibari auzaye Mali za Tanganyika dhidi ya Mwanamme...
🟢 Safari ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, ndani ya Bunge kupitia CCM huenda ikafikia ukingoni mwaka huu
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ametupwa nje ya mbio za kuwania tena ubunge kupitia CCM mwaka huu! 🛑
Taarifa kutoka vikao vya chama ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wa Simiyu...