FEBRUARY 13 NI MAADHIMISHO YA SIKU YA RADIO DUNIANI.
JamiiTalk inaungana na Vyombo vya Habari kote Ulimwenguni Kuadhimisha Siku ya Radio Duniani.
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO lilianzisha Siku ya Radio Duniani mnamo Mwaka 2012 mara baada ya Baraza Kuu la...