maajabu

  1. Kasomi

    Maajabu ya Lev Ivanovich Yashin The Black Spider

    MAAJABU YA THE BLACK SPIDER 1 Kabla ya baadhi ya mechi, Yashin alikiri kuvuta sigara na kunywa kidogo vodka ili kutuliza neva na kuamsha misuli. 2 Alibadilisha kabisa mtazamo wa golikipa duniani kwa kutoka nje ya goli kuzuia hatari mapema na kuwaongoza mabeki kwa sauti na ishara-tofauti na...
  2. Kasomi

    Maajabu ya Nyangumi wa Bluu (Blue whale)

    Nyangumi Bluu ni kiumbe wa ajabu kiasi kwamba namba zake zinaonekana kama hadithi za kusadikika. Hapa kuna baadhi ya maajabu yanayomfanya awe kiumbe wa pekee zaidi kuwahi kuishi duniani Je, unajua Licha ya ukubwa wao, Nyangumi wa Bluu hawana meno. Badala yake, wana kitu kinachoitwa baleen...
  3. Kasomi

    Usiyoyajua kuhusu Mtandao wa Telegram

    Haya ni baadhi ya mambo ambayo wengi hawawezi kuyajua kuhusu Telegram: 1. Telegram haimilikiwi na kampuni kubwa ya biashara kama Meta Telegram ilianzishwa na Pavel Durov, mwanzilishi wa VKontakte (VK), mtandao maarufu wa kijamii nchini Urusi. Ni kampuni binafsi isiyo na uhusiano na...
  4. Kasomi

    Fahamu maajabu ya kicheche au Nguchiro

    Kicheche ni mnyama mdogo jamii ya Nguchiro wanaopatikana sehemu mbalimbali duniani. Wanyama hawa hutofautiana mwonekano kutokana maeneo walipo lakini kimsingi tabia zao wote hufanana. Kicheche ndiye mnyama malaya zaidi kuliko mnyama yeyote yule duniani. Umalaya wake unatokana na kuwa kinara wa...
  5. Kasomi

    Maajabu ya Ndege Mwamba (pia huitwa "njiwa wa mwamba" au rock dove)

    Ndege mwamba (pia huitwa "njiwa wa mwamba" au rock dove) ana maajabu yafuatayo: 1. Kurudi Nyumbani (Homing ability): Ana uwezo wa ajabu wa kurudi kwenye kiota chake kutoka umbali wa mamia hadi maelfu ya kilomita kwa kutumia nguvu ya sumaku duniani, jua na alama za mazingira. 2. Uaminifu wa...
  6. Kasomi

    Mfahamu Nyangumi (Whale) na Maajabu yake

    MFAHAMU NYANGUMI (WHALE) 🐳 1. Moyo wa nyangumi una kilo 600, ukubwa wake ni sawa sawa na ukubwa wa gari ndogo 2.Mtoto wa nyangumi hunywa lita 400 kila siku akiwa na umri wa miezi 7 tu? 3. Mtoto wa nyangumi ana uzito wa kilo 2700 ambayo ni sawa sawa na kifaru mkubwa size ya...
  7. Kasomi

    Tetesi: Kisiwa cha maajabu chapatikana kahunda buchosa wilayani sengerema

    Wakazi wa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza na maeneo ya jirani wamekumbwa na mshangao mara baada ya kuibuka kwa kipande cha ardhi katika Ziwa Victoria kinachokadiriwa kuwa na ukubwa wa zaidi ya Ekari 12 kikiwa hakijulikani asili yake huku mamia ya watu kutoka maeneo mbalimbali wakijitokeza...
Back
Top