makarani

  1. Kasomi

    Orodha ya Majina waliochaguliwa Usimamizi Mkuu, Msaidizi na Ukarani Halmashauri ya Mwanga

    Orodha Ya Majina Ya Walioteuliwa Kuwa Makarani Waongazaji Wapiga Kura Na kuhudhuria mafunzo uchaguzi mkuu 2025 Bonyeza hapa kuona Majina ya Makarani Orodha Ya Majina Wasimamizi Na Wasimamizi Wasaidizi Wa Vituo Bonyeza hapa kuona Majina ya Wasimamizi Wakuu na Wasaidizi Wa Vituo
  2. Kasomi

    Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura, Wasimamizi Wasaidizi na Makarani Waongozaji Jimbo la Kakonko

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kakonko anawatangazia waombaji wa nafasi za wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, wasimamizi wasaidizi na makarani waongozaji kufika kwenye usaili tarehe 08/10/2025 saa 3:00 asubuhi katika vituo vilivyoorodheshwa hapa chini ikiambatana na majina ya wale walioitwa...
  3. Kasomi

    Tangazo La Kubadilika Tarehe Ya Usaili Wasimamizi wa uchaguzi na Makarani Jimbo la Kakonko

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kakonko anapenda kuwajulisha kuwa tarehe ya Usaili kwa Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi wasaidizi na Makarani Waongozaji imebadilika kutoka tarehe 08/10/2025 badala yake usaili utafanyika tarehe 10/10/2025 kuanzia saa 3:00 asubuhi. Aidha, vituo vya kufanyia usaili...
  4. Kasomi

    Kuitwa Kwenye Usaili Wasimamizi wakuu, wasimamizi wasaidizi na makarani wa uchaguzi 2025 Halmashauri Ya Wilaya Ya Itigi

    KUITWA KWENYE USAILI Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi...
  5. Kasomi

    Nafasi za kazi za muda za wasimamizi wa Uchaguzi na makarani

    Pia unaweza pakua PDF hapa Chini
  6. Kasomi

    Maelezo/Ndodoo Muhimu za Maombi ya Ajira Katika Mfumo; Ajira za Muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi 2022

    MFUMO WA MAOMBI YA KAZI ZA UKARANI NA USIMAMIZI WA SENSA DONDOO ZA MAOMBI YA AJIRA KARIBU KATIKA MFUMO AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022. MAELEZO/ DODNDOO MUHIMU 1- Soma Tangazo la Ajira kwa umakini, kabla ya kutuma maombi. 2- Hakikisha Taarifa zote...
  7. Jamii opportunities

    Ajira Za Sensa 2022 kwa Makarani na Wasimamizi

    Ajira Za Sensa 2022 kwa Makarani na Wasimamizi. SIFA ZA WAOMBAJI 1. Elimu ya Kidato Cha Nne na Zaidi 2. Awe na Uzofu wa Kutumia Simu Janja/Kishkwambi 3. Awe Mtumishi wa Umma, Sekta Binafsi, au Yeyote asiye na Ajira anayeishi Eneo husika 4. Umri ni Kuanzia Miaka 18-45 5. Asiwe amewahi Kutiwa...
Back
Top