Advertise here

Kuitwa Kwenye Usaili Wasimamizi wakuu, wasimamizi wasaidizi na makarani wa uchaguzi 2025 Halmashauri Ya Wilaya Ya Itigi

Kasomi

JT Founder
KUITWA KWENYE USAILI
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge
na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025,
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Itigi anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili tarehe 03/10/2025 siku ya Ijumaa katika
vituo vifuatavyo: Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi iliyopo katika Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, Ofisi ya Kata Mitundu, Ofisi ya Kata Mwamagembe, Ofisi ya Kijiji Kintanula na Ofisi ya Kata Rungwa. Muda wa usaili ni kuanzia saa 01:30 asubuhi. Majina ya Watendaji wa Vituo (Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi
Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Makarani waongozaji wapiga kura) walioitwa kwenye usaili.

Bonyeza hapa kuona Majina ya walioitwa kwenye Usaili (Interview)

Tangazo limetolewa na: -
Mkinguzi M. Mgalula
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI
JIMBO LA ITIGI
01, OKTOBA, 2025
 

Similar threads

Back
Top