Kocha mkuu wa klabu ya Manchester United, Reuben Amorim anaamini itawasaidia vyema wachezaji wake kuondoka Kuala Lumpur huku sauti za kuzomewa zikisikika masikioni mwao baada ya kufungwa 1-0 na timu ya ASEAN All-Stars.
Baada ya kukata tamaa katika kampeni kali ya Ligi Kuu ya Premier kwa ushindi...