MANENO MATAMU YA KUMWAMBIA MPENZI WAKO,,, ACHANA NA MAMBO YA KUHONGA HOVYO UTAFILISIKA✍️
1. “Habari ya asubuhi mpenzi wangu. Natamani ningekuwa hapo nikuamshe kwa busu tamu.”.
Anza siku yake kwa ujumbe huu mtamu utakaomfanya ahisi upendo wako hata kama mko mbali.
2. “Kila nikifikiria tabasamu...