maoni

  1. Kasomi

    Kura za maoni kupigwa upya Jimbo la Kongwa

    UPDATES Mchakato wa kura za maoni katika Jimbo la Kongwa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) unatarajiwa kufanyika upya Jumapili Agosti 17, 2025 kufuatia kifo cha aliyeongoza kura za maoni, hayati Job Ndugai. Akitangaza utaratibu mzima, Katibu wa CCM Wilaya ya Kongwa, Joyce Mkaugala amesema...
  2. runinga

    Runinga Special Thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari wana JamiiTalk, Hii ni Akaunti rasmi ya Runinga (Runinga.com) kupitia thread hii, Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri Kujua Runinga ni nini pitia hapa Mtambulisho wa Runinga (Runinga.com) Kupitia JamiiTalk.com unaweza kuwasiliana nasi (Runinga) kwa kutuma ujumbe wako kwenye...
  3. JamiiTalk

    Mi 3 ya JamiiTalk; Shiriki kutoa Maoni Mapendekezo na ushauri

    Habari, Leo JamiiTalk imetimiza miaka 3 Tangu kuanzishwa kwake. Hivyo tungependa kusikia maoni kutoka kwako kuhusu Mtandao huu wa JamiiTalk. Uzi huu utakuwa LIVE Mpaka tarehe 23/03/2025 ili kuwa ruhusu wadau wachangie mambo mbalimbali. Pia unaweza soma hapa JamiiTalk Yafikisha Miaka 3!
  4. Kasomi

    Announcement Sasa Tumia Moja Kwa Moja GIFs (GIPHY) kwenye Mtandao wa JamiiTalk

    Kwa Sasa unaweza tumia mfumo wa Graphics Interchange Format (GIF) kutoka Giphy ndani ya mtandao wa JamiiTalk wakati ukiandika uzi (Thread) au kutoa maoni (reply). Jinsi ya kutumia GIFs Bonyeza vidot vitatu vya pili kutoka kushoto au kulia (vilivyo katikati) Mfano pichani hapo Baada ya hapo...
  5. Kasomi

    Maoni ya wadau na uchambuzi juu ya kisiwa cha maajabu cha buchosa

    Haya ni baadhi ya Maoni ya wadau kuhusu kisiwa hicho; "Hakuna cha ajabu hapa wala hiki si kisiwa halisi ni imani tu za watu. Hii ni sehemu ya ardhi inayojitengeneza kwenye ghuba ya ziwa kwa kukusanya uchafu kwa muda mrefu ikijumuisha udongo, tope, nyavu za wavuvi n.k kisha mimea kama nyasi na...
Back
Top