Orodha ya Mawaziri wa Fedha Tanzania tangu mwaka 1962, mawaziri hawa walitanguliwa na Waziri wa Kwanza Sir Ernest Vassey aliyehudumu kati ya Mwaka 1960 - 1961.
Na sasa baada ya Wizara hiyo kutoa Mawaziri Wakuu wawili, Makamu Rais Wawili pamoja na Rais nani atakuwa mrithi wa Dk Mwigulu Nchemba...