Kasomi JT Founder Nov 18, 2025 #1 Picha: Said Michael wa DW Kwenye kibonzo anaonekana Mchengerwa (Waziri wa Afya), Wanu (Naibu Waziri wa Elimu) na Samia (Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania). Ambapo Mchengerwa ni Mume wa Wanu, pia Wanu ni mtoto wa Samia
Picha: Said Michael wa DW Kwenye kibonzo anaonekana Mchengerwa (Waziri wa Afya), Wanu (Naibu Waziri wa Elimu) na Samia (Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania). Ambapo Mchengerwa ni Mume wa Wanu, pia Wanu ni mtoto wa Samia