mchengerwa

  1. Kasomi

    Taswira ya kiapo cha baadhi ya mawaziri wa familia moja kitakavyokuwa jijini Dodoma

    Picha: Said Michael wa DW Kwenye kibonzo anaonekana Mchengerwa (Waziri wa Afya), Wanu (Naibu Waziri wa Elimu) na Samia (Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania). Ambapo Mchengerwa ni Mume wa Wanu, pia Wanu ni mtoto wa Samia
  2. Kasomi

    Mchengerwa Atoa Maelekezo Nane Mahsusi Kwa Mamlaka Za Serikali Za Mitaa

    MCHENGERWA ATOA MAELEKEZO NANE MAHSUSI KWA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa maelekezo mahsusi nane kwa viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa ikiwamo kufanya tathmini ya kina na kuchukua hatua za haraka kwa watumishi...
Back
Top