Sanamu ya shaba ya Melania trump karibu na mji alikozaliwa nchini Slovenia imetoweka, miaka mitano baada ya kuwekwa mahali ilipokuwa sanamu ya mbao iliyoharibiwa na kuchomwa moto
Polisi wa Slovenia wamesema kwamba walikuwa wamearifiwa kuhusu wizi katika kijiji cha Rozno, ambapo sanamu hiyo...