Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi au K lynn kwa jina jingine (alizaliwa 6 Desemba 1978) ni mjasiriamali kutokla Tanzania aliyeanzisha kampuni ya Amorette Ltd , inayotengeneza samani bora alizobuni mwenyewe na kushinda tuzo. Jacqueline vilevile ni mwanzilishi na mwenyekiti wa taasisi ya Dr Ntuyabaliwe...
Kutoka ardhi ya jua kali la Sikonge mkoani Tabora, alikozaliwa kama mtoto wa kwanza katika familia ya watoto wanne, ndipo simulizi ya Gasper Joseph Kagandwa maarufu kama Gasper Comic ilipoanza kuandikwa kwa wino wa uvumilivu na ndoto. Alikulia katika mazingira ya hali duni kimaisha, katika...
Fatma Karume ni mtoto wa raisi mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume na mjukuu wa raisi wa kwanza wa Zanzibar Abeid Amani Karume. Amezaliwa 15 Juni 1969 ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea wa Tanzania, mwanaharakati ambaye aliwahi kuwa rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) katika...
Epstein alikufa katika gereza la New York kabla ya kuhukumiwa kwa mashtaka dhidi yake. Miaka kadhaa baadaye, mamilioni ya hati juu yake ziliwekwa wazi. Kwa hivyo ni nani alikuwa mshauri huyu wa kifedha na miunganisho yenye nguvu kama hii?
"Mimi si mtu mwenye kudhalilisha kingono, mimi ni...
Mfahamu Joel Nanauka
Joel Nanauka (alizaliwa Mtwara, 4 Julai 1983) ni waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Vijana nchini Tanzania kuanzia tarehe 17 Novemba 2025. Uteuzi wake umetokana na sifa zake kama mhamasishaji maarufu, mwandishi wa vitabu 45, na msomi aliyebobea katika masuala ya maendeleo na...
MFAHAMU NYANGUMI (WHALE) 🐳
1. Moyo wa nyangumi una kilo 600, ukubwa wake ni sawa sawa na ukubwa wa gari ndogo
2.Mtoto wa nyangumi hunywa lita 400 kila siku akiwa na umri wa miezi 7 tu?
3. Mtoto wa nyangumi ana uzito wa kilo 2700 ambayo ni sawa sawa na kifaru mkubwa size ya...
Musa Mahenge amekuwa akiigiza kama Kitale, Mkude Simba na Bwakila na kufanya watu wajue huyo ni mtu mmoja.
Historia yake
Musa Yusuph Mahenge (amezaliwa Manzese, Dar es Salaam, 30 Disemba 1986) ni mwigizaji, mwongozaji na mwandishi wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa uhusika...
Jina kamili ni Nyambari Chacha Mariba Nyangwine (amezaliwa 7 Agosti 1976) ni mwanasiasa wa CCM kutoka Tanzania ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Tarime mwaka 2010.
Nyambari pia ni muhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Ni mmoja kati ya wachapishaji wa vitabu vya kiada na ziada kwa...
MJUE JULIUS MARWA MWENYE UREFU WA FUTI 7.5:
Si ajabu kusikia katika majarida mbalimbali zikiwekwa picha za watu warefu zaidi duniani na hata wafupi zaidi lakini kwa Tanzania kama utazungumzia watu warefu huwezi kuacha kumtaja Julius Marwa mwenye urefu wa futi 7.5 akiwa na miaka 29 (miaka ya...
Millard Afrael Ayo majina mengine ya utani Muyenjwa Laizer alizaliwa Arusha January 26 1986 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ambaye ni Msukuma wa Shinyanga na mwalimu.
Baada ya mama yake...
Eric James Shigongo
Mwandishi, mwanasiasi na mhamasishaji
(alizaliwa wilayani Buchosa, zamani Sengerema, mkoa wa Mwanza, 10 Agosti 1969) ni mbunge wa Buchosa katika Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania (kuanzia tarehe 25 Novemba 2020) na mjasiriamali ambaye amejikita zaidi katika uandishi...
Steven Charles Kanumba alizaliwa 8 Januari 1984, mkoa wa Shinyanga alikuwa msanii wa maigizo na filamu kutoka nchini Tanzania.
Katika historia ya tasnia ya filamu nchini Tanzania, Kanumba ndiye aliyekuwa msanii wa kwanza nchini kufanya kazi nje ya nchi na kuweza kuwavuta wageni kutoka nchi...
6174: 'Kaprekar's Constant' uvumbuzi uliowatatiza wataalamu wa hesabu kwa zaidi ya miongo 7
6174: Kwanini takwimu hii
imewatatiza wataalamu wa hesabu kwa zaidi ya miongo 7?
Itazame takwimu hii: 6174.
Kwa mtazamo wa kwanza, huenda sio kitu kikubwa - lakini imewatatiza wataalamu wa hesabu...