Kasomi
JT Founder
MJUE JULIUS MARWA MWENYE UREFU WA FUTI 7.5:
Si ajabu kusikia katika majarida mbalimbali zikiwekwa picha za watu warefu zaidi duniani na hata wafupi zaidi lakini kwa Tanzania kama utazungumzia watu warefu huwezi kuacha kumtaja Julius Marwa mwenye urefu wa futi 7.5 akiwa na miaka 29 (miaka ya sasa mwaka huu 2022).
Julius ambaye ni Mzaliwa wa Mkoa wa Geita wilayani Chato,
Kwa mahijiano aliyo fanya anasema urefu wake umekuwa ukiwavutia wengi ndani na nje ya nchi huku baadhi yao wakidhani ni fursa kwa taifa kumtumia kuutangaza utalii.

“Mwanzo nilikuwa natumia vitanda vya kawaida...nilikuwa ninapata tabu sana. Kitanda changu cha sasa nimechongesha kulingana na urefu wangu...na godoro hivyo hivyo...”
Alisema- Julius Marwa.
Pia julius Huvaa kiatu namba 18
Miaka ya nyuma Julius Marwa alikuwa akifanya shughuli zake ndogo ndogo mkoani mwanza lakini kwa sasa ni balozo wa baadhi ya makampui hivyo urefu kwake ni fursa.
====
Picha Zaidi za Julius Marwa