Watumiaji wa Windows watalazimika kulipia app ya Notepad ili kupata features mpya.
Kwa zaidi ya miaka 42, app ya Notepad ni app ya bure ambayo imekuwa ikipatikana ndani ya mfumo wa kompyuta ambazo zinatumia Windows. Ni app ya kuandika notes, codes, texts na kazi simple za maandishi...