Advertise here

mikasa

  1. Simulizi

    Mkasa wa Kweli wa Lwanda Magere Mwaka 2000 mpaka 2001

    Lwanda Magere ana Mikasa Miwili ambayo tutakuletea hapa Tutaanza na Mkasa wa Kwanza na Msimuliaji ni Lwanda Magere mwenyewe hivyo tunanukuu kama alivyo simulia MKASA WA KWANZA - MWAKA 2000 - 2001. Sehemu ya 1. Nilizaliwa mwaka 1986 wilayani Tarime,mkoa wa Mara,nchini Tanzania.Wazazi wangu...
Back
Top