mikopo

  1. Kasomi

    Wanufaika mikopo ya juu kuongezeka

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imepanga kutoa mikopo kwa wanafunzi 252,773 mwaka 2025/2026, wakiwemo 88,320 wa mwaka wa kwanza, ili kuwafikia wengi zaidi. Akizungumza leo Juni 14, 2025 jijini Dodoma wakati wa maadhimisho ya miaka 21 ya TAHLISO, Majaliwa amesema hatua hiyo...
  2. Kasomi

    Dirisha la maombi ya mikopo HESLB kufunguliwa Juni 15 Hadi Agosti 32 mwaka huu 2025

    UZINDUZI WA MIONGOZO YA MIKOPO YA ELIMU: DIRISHA LA MAOMBI KUFUNGULIWA JUNI 15 HADI 31, 2025 Serikali imetangaza kuwa miongozo ya mikopo ya elimu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 itapatikana katika lugha za Kiingereza na Kiswahili kwenye tovuti za Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
  3. Kasomi

    Vikundi 100 Vyapewa Mikopo Manispaa ya Geita

    Jumla ya kiasi cha shilingi Bilioni 1.228 kimetolewa kwa vikundi 100 vinavyojumuisha makundi ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili kuweza kujikwamua kiuchumi kupitia miradi mbalimbali. Hafla ya utoaji wa mikopo hiyo imefanyika leo Mei 15, 2025 katika ukumbi wa St. Aloysious mtaa wa...
  4. Kasomi

    Dirisha la maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2022/2023 kufunguliwa Kesho julai 19

    Dirisha la maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2022/2023 litakuwa wazi kwa muda wa siku 70 kuanzia Julai 19 hadi Septemba 30 mwaka huu, hivyo tunawasihi wanafunzi waombaji wasome mwongozo kabla ya kuomba mkopo kwa kuwa ndiyo unataja sifa, vigezo na utaratibu wa kuomba mkopo. “Uzoefu unaonesha...
Back
Top