mkuu

  1. Kasomi

    Tetesi: Mgodi wa uchimbaji wa dhahabu wa Msasa, Geita wauwa zaidi ya Watu 100

    HABARI MBAYA KUTOKA MKOANI GEITA Mgodi wa uchimbaji wa dhahabu wa Geita unaojulikana kama MSASA ambao unamilikiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela huku hisa za Kiongozi huyo zikisimamiwa na Cosmas Ignas. Leo yaani Machi 29, saa Sita Mchana mgodi huo umeua watu zaidi ya 100 baada ya...
  2. Kasomi

    CV ya Waziri Mkuu Mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba

    CV ya Waziri Mkuu Mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba (50) KUZALIWA: Januari 7, 1975, Iramba, Singida 🇹🇿 ELIMU ⤵️ 1987 – 1993: Makunda Primary School 1994 – 1997: Ilboru Secondary School 1998 – 2000: Mazengo Secondary School 2001 – 2004: UDSM, Bachelor of Economics...
  3. Kasomi

    Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri Mkuu

    Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteuwa aliyekuwa Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Mapema ya leo Novemba 13.2025 Mpambe (ADC) wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  4. Kasomi

    Orodha ya Majina waliochaguliwa Usimamizi Mkuu, Msaidizi na Ukarani Halmashauri ya Mwanga

    Orodha Ya Majina Ya Walioteuliwa Kuwa Makarani Waongazaji Wapiga Kura Na kuhudhuria mafunzo uchaguzi mkuu 2025 Bonyeza hapa kuona Majina ya Makarani Orodha Ya Majina Wasimamizi Na Wasimamizi Wasaidizi Wa Vituo Bonyeza hapa kuona Majina ya Wasimamizi Wakuu na Wasaidizi Wa Vituo
  5. Kasomi

    TANZIA Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga amefariki dunia katika Wilaya ya Kerala Nchini India

    Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga amefariki dunia katika Wilaya ya Kerala Nchini India akiwa na umri wa miaka 80 baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati akiwa anafanya mazoezi katika matembezi ya asubuhi. Vyombo vya Habari Nchini Kenya na India vimeripoti kuwa Odinga alikuwa Nchini...
  6. Kasomi

    Mwalimu Mkuu Gibson Mkomi Afanya Harambee Ujenzi wa Hostel Bugalama Geita

    Imeelezwa kuwa wanafunzi wengi wa kike wanakatisha masomo kila mwaka kutokana na umbali mrefu wa kuifata elimu katika kata ya Bugalama halamashauri ya wilaya ya Geita. Gibson Mkomi Mkuu wa shule ya sekondari ya Bugalama ameamua kufanya harambee ya uchangiaji wa jengo la hostel kwa ajili ya...
  7. Kasomi

    Rais Samia amteua Sirro kuwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uteuzi alioufanya leo June 23 2025, amemteua Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi Tanzania Balozi Simon Nyankoro Sirro kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma. Balozi Simon Sirro ni miongoni mwa Wakuu wapya wa Mikoa watano ambao wameteuliwa leo June 23 2025...
Back
Top