Ili mwanadamu awe timamu kiafya , Kijamii na Kiroho anapaswa kufanya mazoezi ili kuboresha mfumo wake wa Mwili ,Kuondoa mafuta na sumu zisizohitajika mwilini , kutengeneza nguvu pia Mazoezi yana faida nyingi kwa afya ya mwili na akili. Hapa kuna baadhi ya faida kubwa za mazoezi:
1. Mazoezi...