Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Mohamed Salum, amesema meli ya MV Mwanza, ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 98, inatarajiwa kufanyiwa majaribio mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu.
Akizungumza mkoani Mwanza baada ya kukagua maendeleo ya mradi huo, Salum amesema...