CV ya Waziri Mkuu Mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba (50)
KUZALIWA: Januari 7, 1975, Iramba, Singida 🇹🇿
ELIMU ⤵️
1987 – 1993: Makunda Primary School
1994 – 1997: Ilboru Secondary School
1998 – 2000: Mazengo Secondary School
2001 – 2004: UDSM, Bachelor of Economics...
Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteuwa aliyekuwa Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Mapema ya leo Novemba 13.2025 Mpambe (ADC) wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...