nafasi

  1. Jamii opportunities

    Nafasi za Kazi Halotel

    NAFASI ZA KAZI HALOTEL Tunakukaribisha katika Familia ya Halotel, Halotel inakaribisha maombi ya Kazi kwa nafasi zifuatazo: 🔹 Director of Fiber Infrastructure & Network Strategy 🔹 Senior Fiber Planning & Transmission Engineer 🔹 Regional Fiber Operations Officer 📩 Jinsi ya Kutuma Maombi...
  2. Kasomi

    Musukuma: Wastaafu wasiteuliwe waachie nafasi kwa vijana

    MBUNGE wa Geita Joseph Kasheku Musukuma ameishauri serikali kuacha kuteua wenyeviti wa bodi watu waliostaafu bali wateuliwe vijana wenye maono mapya yatakayolisaidia taifa kupiga hatua. Msukuma, amesema hayo leo bungeni jijini Dodoma, wakati akichangia mjadala kuhusu mpango elekezi wa maendeleo...
  3. Kasomi

    Benki ya Dunia: Kenya yashika nafasi ya 10 kati ya nchi maskini duniani

    KENYA: Benki ya Dunia imeitaja Kenya kuwa ya kumi kati ya nchi maskini zaidi duniani ambapo taarifa hiyo imetolewa wakati taifa hilo likijiandaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, huku hali ya kisiasa ikielezwa kuwa na mvutano unaozidi kuongezeka katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi huo...
  4. Kasomi

    TANGAZO: Nafasi za Udalali wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya

  5. Kasomi

    Bongo Zozo ajiuzulu Rasmi nafasi ya ubalozi wa utalii Tanzania kisa uvunjifu wa Amani

    ANAANDIKA BONGO ZOZO "BALOZI WA UTALII TANZANIA". Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii. Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa...
  6. Kasomi

    Serikali imetangaza rasmi nafasi 41,500 za ajira katika sekta mbalimbali za umma

    Serikali imetangaza rasmi nafasi 41,500 za ajira katika sekta mbalimbali za umma ikiwa ni juhudi za kukabiliana na upungufu wa watumishi nchini. Nafasi hizo zitatolewa kwa mwaka wa fedha 2024/2025 na 2025/2026, huku mchakato mzima wa ajira ukitakiwa kukamilika ifikapo Novemba 2025. Akitangaza...
  7. Kasomi

    Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura, Wasimamizi Wasaidizi na Makarani Waongozaji Jimbo la Kakonko

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kakonko anawatangazia waombaji wa nafasi za wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, wasimamizi wasaidizi na makarani waongozaji kufika kwenye usaili tarehe 08/10/2025 saa 3:00 asubuhi katika vituo vilivyoorodheshwa hapa chini ikiambatana na majina ya wale walioitwa...
  8. Jamii opportunities

    Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetangaza nafasi 173 za ajira

    Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetangaza nafasi 173 za ajira, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulipanua na kulipa nguvu zaidi shirika hilo ndani na nje ya Afrika. Kulingana na tangazo hilo, nafasi zilizopo ni pamoja na marubani wakuu 23, marubani wasaidizi 45, wahudumu wa ndege 100 (ikiwemo...
  9. G

    NAFASI ZA KAZI 12+ KAMPUNI YA PALMPAY

    ⭕️ *NOW*: *NAFASI ZA KAZI 12+ KAMPUNI YA PALMPAY* Bofya Hapa 👉🏿https://www.jobsreport.online/palmpay-tanzania-jobs-vacancies-2025-insight/
  10. G

    NAFASI ZA KAZI HOTEL YA JOHARI ROTANA

    ⭕️ *NOW*: *NAFASI ZA KAZI HOTEL YA JOHARI ROTANA* Bofya Hapa 👉🏿https://www.jobsreport.online/johari-rotana-hotel-jobs-vacancies-2025-insight/
  11. G

    Jobs Opportunities at UNIQUE SAFARIS

    ⭕️ *NOW*: *NAFASI ZA KAZI UNIQUE SAFARIS* Bofya Hapa 👉🏿https://www.jobsreport.online/the-uniques-tanzania-where-safari-dreams-meet-authentic-luxury-available-opportunities/ 💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k
  12. Kasomi

    Nafasi za kazi za muda za wasimamizi wa Uchaguzi na makarani

    Pia unaweza pakua PDF hapa Chini
  13. Kasomi

    JWTZ yatangaza nafasi za kujiunga na Jeshi kwa vijana wa Kitanzania

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza kuanza kwa zoezi la uandikishaji wa vijana wa Kitanzania kujiunga na jeshi, likilenga waliohitimu kuanzia kidato cha nne hadi elimu ya juu. Tangazo hilo limetolewa Aprili 30, 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ...
  14. Kasomi

    Nafasi za Kazi Royal Soap and Detergent Industries LTD 22-04-2025

    Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Royal Soap and Detergent kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizotangazwa siku ya leo tarehe 22/04/2025. Kampuni tanzu ya MeTL Group inayoitwa Royal Soap and Detergent Industries Ltd ilianza rasmi kufanya kazi za...
  15. Kasomi

    Nafasi za Kazi GSM Group Tanzania 22-04-2025

    Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi GSM Group Tanzania kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa. Tuma maombi hapa. Bonyeza hapa
  16. Kasomi

    Nafasi za kazi Brac Maendeleo 22-04-2025 Ajira

    Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Brac Maendeleo Tanzania kwa Watanzania wote wenye sifa wanahitajika kutuma maombi na kujaza ajira mpya hizi, Hivyo wahi sasa na utume maombi mapema. Tuma maombi hapa. https://drive.google.com/file/d/1HNgWvnUcB9QNp4GfiVJ5TSRvWb2uAi9e/view?usp=sharing...
  17. Kasomi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza nafasi za kazi kwa watendaji watakaosimamia Uchaguzi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuendesha uchaguzi wa Rais na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na madiwani kwa Tanzania Bara, mwaka 2025. Katika kutekeleza jukumu hilo, Tume inatangaza nafasi za kazi ili kupata Watendaji watakaosimamia zoezi hilo kwa Tanzania Zanzibar. Kazi...
  18. Jamii opportunities

    New Alert: 1448 Job Opportunities At Wizara Ya Ardhi

    1448 Job Opportunities At Wizara Ya Ardhi. The ministry of lands was established as a department of Lands and later changed into a full ministry which changed its name according to the functions within that specific period. The current name is Ministry of Lands, Housing and Human Settlements...
Back
Top