ndege

  1. Kasomi

    Manusura wa ajali ya ndege waliokula maiti za wenzao ili waishi

    Manusura wa ajali ya ndege waliokula maiti za wenzao ili waishi Timu ya raga ya shule ya Old Christians Club kutoka Montevideo, Uruguay ilikodi ndege ya Jeshi la anga la Uruguay kusafiri Oktoba 13, 1972 hadi Santiago, Chile. Wakisafiri kwenda kucheza mechi dhidi ya Old Boys katika jiji hilo...
  2. Kasomi

    Mambo 10 yenye Utata na Matukio Yasiyosahaulika Duniani hadi leo

    Wachunguzi, waakiolojia, na wanasayansi wamekuwa wakihangaika kwa karne nyingi kutafuta majibu ya mafumbo makubwa ya dunia. Ingawa kumekuwa na mitazamo tofauti lakini hakuna mtazamo mmoja wa Moja kwa moja ulioleta Majibu katika haya. Hapa kuna orodha ya vitu 10 vinavyotafutwa zaidi ambavyo...
  3. Kasomi

    kwa nini Ndege huacha mistari kama Moshi ikipita juu?

    kwa nini Ndege huacha mistari kama Moshi ikipita juu Mistari hiyo unayoiona angani baada ya ndege kupita inaitwa contrails (kwa kifupi cha condensation trails). Ingawa inaonekana kama moshi, kimsingi ni mawingu madogo yanayotengenezwa na binadamu. Hapa kuna sababu kuu kwa nini mistari hiyo...
  4. Kasomi

    Ajali Mbaya ya Ndege Ndogo Kwale Yaua Watu 12

    Ndege ndogo iliyokuwa imebeba watu 12 imeanguka katika eneo la kaunti ya Kwale, pwani ya Kenya, na kusababisha vifo vya watu wote waliokuwa ndani, kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Kenya (KCAA). Mkurugenzi Mkuu wa KCAA, Emile Arao, amethibitisha kuwa ndege hiyo yenye...
  5. Jamii opportunities

    Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetangaza nafasi 173 za ajira

    Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetangaza nafasi 173 za ajira, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulipanua na kulipa nguvu zaidi shirika hilo ndani na nje ya Afrika. Kulingana na tangazo hilo, nafasi zilizopo ni pamoja na marubani wakuu 23, marubani wasaidizi 45, wahudumu wa ndege 100 (ikiwemo...
  6. Kasomi

    Ndege za kitanzania zinazoruka kwa mafuta ya bodaboda

    Katika uwanja mdogo wa ndege wa Mazimbu, Morogoro, nilijikuta nikishuhudia jambo ambalo kwa wengi lingesikika kama hadithi tu. Hapa, kundi la vijana 13 wa Kitanzania wanapiga hatua kubwa kwa kutengeneza ndege ndogo kwa mikono yao hatua moja kubwa kuelekea historia mpya ya anga barani Afrika...
  7. Kasomi

    Manusura aelezea jinsi alivyotoka kwenye mabaki ya Ndege ya Air India

    Manusura aelezea jinsi alivyotoka kutoka kwenye mabaki ya Air India Nilitoka kwenye kifusi': Manusura aelezea jinsi alivyotoka kwenye mabaki ya Air India Mwanamume Uingereza ambaye ndiye mtu pekee aliyenusurika katika ajali ya ndege ya Air India Alhamisi anasema alifanikiwa kutoka kwenye...
  8. Kasomi

    Ajali 5 za ndege mbaya zaidi kuwahi kutokea duniani

    Ajali 5 za ndege mbaya zaidi kuwahi kutokea duniani 1. Pan Am Flight 1736 na KLM Flight 4805 – Vifo 583 Janga hili linakumbukwa kama ajali mbaya zaidi katika historia ya usafiri wa anga, ilitokea Tenerife, visiwa vya Canary mnamo Machi 27, 1977. Ndege mbili za Boeing 747 ziligongana kwenye...
Back
Top