nkosi johnson

  1. Kasomi

    Nkosi Johnson kijana mdogo aliyeleta mabadiliko Duniani

    Nkosi Johnson alizaliwa 1989 na kufariki dunia 2001. Nkosi alizaliwa na maambukizi ya HIV/AIDS - aliyoyarithi kutoka kwa wazazi wake. Katika mwaka 1997, alikataliwa kujiunga na shule ya umma kwasababu ya hali yake ya HIV. Hata hivyo alikuwa mwanakampeni mkuu wa jinsi waathiriwa wa HIV...
Back
Top