"Ndani ya nchi yetu Mungu ametubariki uraniamu (urania). Ni vyema kusimamia ule mradi wetu kule Namtumbo, wale wawekezaji waanze kazi sasa tufaidike na rasilimali ile."
Ni kauli nzito ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa mwishoni mwa wiki wakati wa kumuapisha Mkurugenzi mtendaji...