Muungano wa wawekezaji unaoongozwa na Elon Musk ulitoa ofa ya $97.4bn kununua OpenAI, watengenezaji wa ChatGPT.
Wakili wa bilionea huyo, Marc Toberoff, alithibitisha kuwa aliwasilisha ofa ya "mali zote" za kampuni ya Musk kwa bodi yake Jumatatu.
Ofa hiyo ni mabadiliko ya hivi punde katika vita...