orodha

  1. Kasomi

    HESLB: List of Diploma Programmes Eligible for Loan Issuance - Orodha ya kozi zinazopewa mkopo ngazi ya Stashahada

    List of Diploma Programmes Eligible for Loan Issuance Health and Allied Sciences 1 Diploma in Clinical Dentistry, 2 Diploma in Diagnostic Radiography, 3 Diploma in Occupational Therapy, 4 Diploma in Physiotherapy, 5 Diploma in Electrical and Biomedical Engineering, 6 Diploma in Environmental...
  2. Kasomi

    Hii ndiyo orodha ya wabunge walioingoza Kishapu kuanzia 1965 - 2025

    JIMBO LA KISHAPU Leo tuangalie historia ya jimbo la Kishapu upande wa Wabunge, Bunge la kwanza la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 1965 mkoa wa Shinyanga uliwakilishwa na Majimbo matatu (3) amabayo ni Shinyanga Mashariki, (kwa sasa ndiyo kishapu) Shinyanga Kati na Shinyanga Magharibi. BUNGE LA...
  3. Kasomi

    Orodha ya Nchi (20) kubwa kieneo Duniani

    Orodha ya Nchi (20) kubwa kieneo Duniani. 1. Russia 🇷🇺 (17 125 191) 2. Canada 🇨🇦. (9 985 000 ) 3. Marekani 🇺🇸 (9 629 091) 4. China 🇨🇳 (9 596 961) 5. Brasil 🇧🇷 (8 515 767) 6. Australia 🇭🇲 (7 699 060) 7. India🇮🇳 (3 287 263) 8. Argentina 🇦🇷 (2 780 400) 9. Kazakhstan 🇰🇿 (2 724 910) 10. Algeria 🇩🇿...
  4. Kasomi

    Orodha ya mikoa ya Tanzania na ukubwa wake

    Orodha ya mikoa ya Tanzania na ukubwa wake Nafasi ya Mkoa, Jina la Mkoa na Kilomita za mraba Tabora76,151 Morogoro70,624 Lindi66,699 Ruvuma66,399 Singida49,340 Katavi45,843 Kigoma45,066 Manyara44,522 Dodoma41,311 Arusha37,576 Mbeya35,954 Iringa35,503 Pwani32,547 Songwe27.656 Tanga26,667...
  5. Kasomi

    Orodha ya Matajiri Weusi Duniani 2025 (The World's Black Billionaires)

    Jarida la kifedha la Forbes limetoa rasmi orodha ya Matajiri Weusi Duniani kwa mwaka 2025, ikionyesha kundi dogo lakini lenye ushawishi mkubwa wa wafanyabiashara, wanamichezo, wasanii na wawekezaji waliokusanya utajiri wa mabilioni ya dola duniani. The World's Black Billionaires 2025 1. Aliko...
  6. Kasomi

    Haya Hapa Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026

    Kuona Orodha Ya Wanafunzi Waliopangwa Kwenda Shule Moja Chagua Mkoa Ulikosoma BOFYA HAPA
  7. Kasomi

    Orodha ya Mawaziri wa Fedha Tanzania tangu mwaka 1962

    Orodha ya Mawaziri wa Fedha Tanzania tangu mwaka 1962, mawaziri hawa walitanguliwa na Waziri wa Kwanza Sir Ernest Vassey aliyehudumu kati ya Mwaka 1960 - 1961. Na sasa baada ya Wizara hiyo kutoa Mawaziri Wakuu wawili, Makamu Rais Wawili pamoja na Rais nani atakuwa mrithi wa Dk Mwigulu Nchemba...
  8. Kasomi

    Orodha ya Mawaziri Wakuu Tanzania toka 1972 - 2025

    Ifuatayo ni orodha ya Mawaziri Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu mwaka 1972. Hata hivyo, Julius Kambarage Nyerere na Rashid Mfaume Kawawa waliwahi kuhudumu nafasi hiyo wakati nchi hiyo ikijulikana kama Tanganyika kabla ya cheo hicho kufutwa kati ya Novemba 1964 na Februari 1972...
Back
Top