Kasomi
JT Founder
JIMBO LA KISHAPU
Leo tuangalie historia ya jimbo la Kishapu upande wa Wabunge, Bunge la kwanza la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 1965 mkoa wa Shinyanga uliwakilishwa na Majimbo matatu (3) amabayo ni Shinyanga Mashariki, (kwa sasa ndiyo kishapu) Shinyanga Kati na Shinyanga Magharibi.
BUNGE LA KWANZA.
Mbunge wa kwanza wa jimbo la Shinyanga Mashariki ni;
Mhe. Edward Elikana Bukumba Nzingula
Shinyanga Mashariki (TANU)
Kuanzia 12 Okt. 1965 -30 Juni, 1969.
Akafatia Mhe. Maganga Masanja Shija II (TANU)
Kuanzia 16 Dis. 1969 -24 Julai, 1970.
BUNGE LA PILI.
Uchaguzi wa mwaka 1970 Jimbo la Shinyanga Mashariki likabadilishwa jina likaitwa jimbo la Mwadui na aliyeshinda ubunge ni;
Mhe. Edward Elikana Bukumba Nzingula
Mwadui (TANU)
Kuanzia 19 Nov. 1970 –18 Julai, 1975
BUNGE LA TATU.
Uchaguzi wa mwaka 1975 jimbo la Mwadui likabadilishwa jina tena na kuitwa jimbo la Shinyanga Vijijini na aliyeshinda uchaguzi ni;
Mhe Edward Elikana Bukumba Nzingula
Shinyanga Vijijini (TANU/ CCM)
Kuanzia 06 Nov. 1975 –1979
Mhe. Henry Mnyashi Limihagati (CCM)
Kuanzia 06 Jan. 1980 –26 Julai, 1980
BUNGE LA NNE.
Uchaguzi wa 1980 jimbo la Shinyanga Vijijini likabakia na jina lilelile na mbunge ni;
Mhe. Henry Mnyashi Limihagati
Shinyanga Vijijini (CCM)
Kuanzia 04 Nov. 1980 –31 Julai, 1985
BUNGE LA TANO.
Uchaguzi wa mwaka 1985 jimbo la Shinyanga Vijijini likagawanywa na kuwa na majimbo mawili Solwa na Kishapu. Mbunge wa kwanza wa jimbo la Kishapu ni;
Mhe. Paulo Ng’wala Makolo
Kishapu (CCM)
Kuanzia 02 Nov. 1985 -23 Julai, 1990
BUNGE LA SITA.
Uchaguzi wa mwaka 1990 jimbo la Kishapu mbunge wake akabaki ni yule yule,
Mhe. Paulo Ng’wala Makolo
Kishapu (CCM)
Kuanzia 06 Nov. 1990 –04 Agosti, 1995
BUNGE LA SABA.
Uchaguzi wa mwaka 1995 Mbunge wa jimbo la Kishapu akabaki yule yule,
Mhe. Paul Ngwala Makolo
Kishapu (CCM)
Kuanzia 24 Nov. 1995 -04 Agosti, 2000
BUNGE LA NANE.
Uchaguzi wa mwaka 2000 jimbo la Kishapu mbunge akabaki yule yule,
Mhe. Paul Ng’wala Makolo
Kishapu (CCM)
Kuanzia 14 Nov. 2000 -05 Agosti, 2005
BUNGE LA TISA.
Uchaguzi wa mwaka 2005 jimbo la Kishapu likapata mbunge mpya ambaye ni;
Mhe. Fred Tungu Mpendazoe
Kishapu (CCM)
Kuanzia 28 Dis. 2005 -01 Agosti, 2010
BUNGE LA KUMI.
Uchaguzi wa mwaka 2010 jimbo la Kishapu likapata mbunge mpya tena ambaye ni;
Mhe. Suleiman Masoud Nchambi Suleiman
Kishapu (CCM)
Kuanzia 12 Nov. 2010 –7 Agosti, 2015
BUNGE LA KUMI NA MOJA.
Uchaguzi wa mwaka 2015 jimbo la Kishapu mbunge wake akabiki yule yule,
Mhe. Suleiman Masoud Nchambi
Kishapu (CCM)
Kuanzia 17 Nov. 2015 -31 Julai, 2020
BUNGE LA KUMI NA MBILI.
Uchaguzi wa mwaka 2020 jimbo la Kishapu likapata mbunge mpya tena ambaye ni;
Mhe. Boniphace Nyangindu Butondo
Kishapu (CCM)
Kuanzia 6 Nov. 2020-13 Julai. 2025
BUNGE LA KUMI NA TATU.
Uchaguzi wa mwaka 2025 jimbo la Kishapu likapata mbunge mpya tena ambaye ni;
Mhe. Lucy Thomas Mayenga
Kishapu (CCM)
Kuanzia 11 Nov. 2025 hadi sasa.
Hii ndiyo orodha ya wabunge walioingoza Kishapu yetu mpaka sasa, je kwenye hii orodha ni wabunge wangapi ambao umewashuhudia. Mimi nimeanzia kwa Paul Makolo.
Imeandikwa na Faida Potea Mjukuu wa Njelekela mwana wa kunyumba mpenda kumbukumbu