Francis: Papa kutoka Amerika ya Kusini ambaye alilibadilisha Kanisa Katoliki
Mwaka 2013 Francis alikuwa Papa wa kwanza kutoka Amerika na kutoka Ulimwengu wa Kusini. Alimrithi Benedict XVI, ambaye alifariki mwaka 2022. Benedict XVI alikuwa Papa wa kwanza kustaafu kwa hiari baada ya takribani...
Nini hutokea baada ya kifo cha Papa Francis?
Ulimwengu na haswa waumini wa Kanisa Katoliki limetumbukia katika majonzi baada ya kutangazwa kuwa kiongozi wao Papa Francis amefariki akiwa na umri wa miaka 88.
Nini kinatokea?
Mazishi ya papa kwa kawaida yamekuwa tukio la kipekee na lenye mambo...
Papa Francis afariki dunia Jumatatu ya Pasaka, Aprili 21, 2025, akiwa na umri wa miaka 88 katika makazi yake katika Casa Santa Marta, Vatican.
Saa 9:45 asubuhi, Kadinali Kevin Farrell, Camerlengo wa Baraza la Kitume, alitangaza kifo cha Papa Francisko kutoka Casa Santa Marta kwa maneno haya...
Roma, Italia – Hali ya Papa Francis bado si nzuri, lakini anaendelea kupokea matibabu katika Hospitali ya Gemelli mjini Roma. Taarifa kutoka Vatican zinaeleza kuwa, licha ya changamoto zake za kiafya, bado anaonyesha uimara wa kiroho na anaendelea kuwa mwenye ufahamu mzuri.
Papa, mwenye umri wa...