Advertise here

phd

  1. Kasomi

    Justinian Rweyemamu Mtanzania wa Kwanza Kupata Shahada ya Uzamivu (PhD) Kutoka Chuo cha Harvard

    MTANZANIA WA KWANZA KUPATA SHAHADA YA UZAMIVU (PhD) KUTOKA CHUO KIKUU MAARUFU DUNIANI CHA HARVARD Pichani ni Justinian Rweyemamu ndiye Mtanzania wa kwanza kupata Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu maarufu duniani cha Harvard. Justinian Rweyemamu alikuwa bingwa wa hesabu, uchumi na...
  2. Kasomi

    Dr Martin Chegere Tanzania One (TO) wa Wakati wote na aliyepata PhD akiwa na umri mdogo

    Anaitwa Dr. Martin Julius Chegere, ni mmoja kati ya watanzania wachache waliopata nafasi ya kupata Ph.D wakiwa na umri mdogo sana. Chegere katunukiwa Ph.D ya uchumi tarehe 23 ya mei 2017 katika chuo kikuu cha Gothenburg katika shule ya biashara huko nchini Sweden. Pia ni TO (Tanzania One) wa...
  3. Kasomi

    Claudia Lubao Maarufu kama Chemical Atunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD)

    Claudia Lubao Maarufu kama Chemical ambaye ni Msanii pamoja na Staa wa Rap kutoka nchini Tanzania, Jana April 30,2025 ameweka wazi kuhusiana na Historia ya Maisha yake Kwa kufanikiwa kupata (PhD) ya uzamivu baada ya kufaulu mtihani wake wa mwisho kwenye masuala ya sanaa Hivyo kwasasa Claudia...
  4. Kasomi

    About Dr. Wendy A. Okolo the first black woman to obtain a PhD

    Dr. Wendy A. Okolo is an aerospace research engineer focused on flight dynamics, vehicle controls, and systems health monitoring. She is also an expert and advocate for diversity, inclusion, and equity in Science, Technology, Engineering, and Mathematics (STEM) fields. Dr. Wendy A. Okolo is an...
  5. Kasomi

    Wendy Okolo Mwanamke wa kwanza Mweusi kupata Shahada ya uzamivu (PhD)

    Wendy Okolo ni mhandisi wa anga mwenye kipaji kutoka Nigeria, ambaye ameweka historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza mweusi kupata shahada ya uzamivu (PhD) katika uhandisi wa anga kutoka Chuo Kikuu cha Texas huko Arlington mwaka 2015 akiwa na umri wa miaka 26. Safari yake ya kielimu ilianza Lagos...
Back
Top