Advertise here

profesa janabi

  1. M

    Profesa Janabi amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa ukanda wa Afrika

    Profesa Janabi amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa ukanda wa Afrika. Awali Profesa Janabi aliwasilisha Vipaumbele kama ifuatavyo Prof. Mohammed Janabi, amewasilisha vipaumbele saba ambavyo amevinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi wanachama wa Shirika la...
  2. Kasomi

    Mbivu na mbichi ya Profesa Janabi katika uchaguzi wa Mkurugenzi wa WHO Afrika

    Mbivu na mbichi ya Profesa Janabi katika uchaguzi wa Mkurugenzi wa WHO Afrika Uchaguzi wa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) unafanyika Mei 18 huko Geneva Uswisi. Mataifa wanachama wanapiga kura katika kikao cha pili maalum cha kamati ya kikanda ya shirika hilo...
  3. Kasomi

    Wasifu mfupi wa Profesa Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili

    Profesa Mohamed Janabi ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili aliyebobea kwenye magonjwa ya moyo. Amekuwa akishauri masuala ya ulaji unaozingatia afya ili kuepukana na magonjwa mbalimbali na kuishi bora. Kupitia uzoefu wake wa kitabibu na taaluma yake, Profesa Janabi ametoa...
Back
Top