qt

  1. Kasomi

    Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne na Maarifa (QT) 2022 leo tarehe 29/01/2023

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne uliofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022. Matokeo hayo yametangazwa leo January 29,2023 na Kaimu Katibu Mtendaji wa Necta, Athumani Amasi. Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye...
Back
Top