Advertise here

Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne na Maarifa (QT) 2022 leo tarehe 29/01/2023

Kasomi

JT Founder
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne uliofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022.

Matokeo hayo yametangazwa leo January 29,2023 na Kaimu Katibu Mtendaji wa Necta, Athumani Amasi.

Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao ni sawa na 87.79% wamefaulu kwa kupata madaraja kuanzia daraja la kwanza, daraja la pili, daraja la tatu na daraja la nne.

Tazama hapa matokeo
 

Similar threads

Back
Top