SERIKALI imesema kuwa filamu ya Royal Tour iliyozinduliwa jana na Rais Samia Suluhu Hassan, jijini New York, Marekani, itaitangaza Tanzania duniani, huku ikileta maelfu ya watalii kutoka nchini humo.
Katika uzinduzi huo uliofanyika katika jumba la Makumbusbo la Guggenheim 89th Avenue jijini New...