UPDATES " Nimezaliwa katika familia ya CCM akiwemo baba yangu ambaye ni mwanzilishi wa Chama Cha TANU,lakini licha ya kuzaliwa katika chama hicho chama Cha mapinduzi kimepoteza mwelekeo na kukiuka misingi iliyowekwa na waasisi wake.
CCM imesaliti adhima na misingi iliyowekwa na waasisi wa Chama...
Je, kumwaga manii usingizini ni ishara ya ugumba?
Wakati ambapo mwanamume anamwagaa manii akiwa usingizini, wataalamu wanaeleza hali hiyo kama ndoto pevu. Wanaume wengi huwajawa na wasiwasi, kwasababu wanahisi kwamba hatua hiyo ni ishara ya mapema ya kupungukiwa kwa manii au hata kuwa na...