Advertise here

said

  1. Kasomi

    TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege amefariki Dunia

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Kilwa Kusini kupitia Chama cha CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege, amefariki Dunia, Machi 30, 2026 akiwa hospitali ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Enzi za uhai wake Bwege amewahi kutumikia...
  2. Kasomi

    Masultani 11 Waliofuata Baada ya Kifo cha Sultan Sayyid Said bin Sultan bin Ahmed mwaka 1856

    Picha za Kihistoria za Zanzibar: Tuwajue Masultani 11 Waliofuata Baada ya Kifo cha Sultan Sayyid Said bin Sultan bin Ahmed mwaka 1856 Baada ya kufariki kwa Sultan Sayyid Said mwaka 1856, Zanzibar ilitawaliwa na masultani 11 waliokuja kwa nyakati tofauti kati ya karne ya 19 na mapinduzi ya mwaka...
  3. M

    MAJI MAJI REBELLION...REBELLION?

    Nimeona post ina anuani, ''Maji Maji Rebellion.'' Sijakipenda kichwa hiki cha habari. Hii mosi pili nimeona uandishi wa kejeli kwa mashujaa wa Vita Vya Maji Maji. Kwa ajili hii naweka hapo chini makala niliyoandika kuhusu historia ya Tanganyika ambamo ndani yake naamimi yamo mambo muhumu ya...
Back
Top