Nimeona post ina anuani, ''Maji Maji Rebellion.''
Sijakipenda kichwa hiki cha habari.
Hii mosi pili nimeona uandishi wa kejeli kwa mashujaa wa Vita Vya Maji Maji.
Kwa ajili hii naweka hapo chini makala niliyoandika kuhusu historia ya Tanganyika ambamo ndani yake naamimi yamo mambo muhumu ya...