sanamu

  1. Kasomi

    Sanamu ya shaba ya Melania trump karibu na mji alikozaliwa nchini Slovenia imetoweka

    Sanamu ya shaba ya Melania trump karibu na mji alikozaliwa nchini Slovenia imetoweka, miaka mitano baada ya kuwekwa mahali ilipokuwa sanamu ya mbao iliyoharibiwa na kuchomwa moto Polisi wa Slovenia wamesema kwamba walikuwa wamearifiwa kuhusu wizi katika kijiji cha Rozno, ambapo sanamu hiyo...
  2. Kasomi

    Klabu ya Napoli leo imezindua sanamu la Diego Armandos Maradona

    Klabu ya Napoli leo imezindua sanamu la Diego Armandos Maradona ikiwa ni siku moja kabla ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya nguli huyo wa soka wa Argentina. Uzinduzi huo ulifanyika muda mfupi kabla ya mchezo wa Ligi kuu Italia ambapo vinara hao wa Serie A wameshinda 4-0 dhidi ya Sassuolo.
Back
Top