Advertise here

shahada ya uzamivu

  1. Kasomi

    Justinian Rweyemamu Mtanzania wa Kwanza Kupata Shahada ya Uzamivu (PhD) Kutoka Chuo cha Harvard

    MTANZANIA WA KWANZA KUPATA SHAHADA YA UZAMIVU (PhD) KUTOKA CHUO KIKUU MAARUFU DUNIANI CHA HARVARD Pichani ni Justinian Rweyemamu ndiye Mtanzania wa kwanza kupata Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu maarufu duniani cha Harvard. Justinian Rweyemamu alikuwa bingwa wa hesabu, uchumi na...
  2. Kasomi

    Claudia Lubao Maarufu kama Chemical Atunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD)

    Claudia Lubao Maarufu kama Chemical ambaye ni Msanii pamoja na Staa wa Rap kutoka nchini Tanzania, Jana April 30,2025 ameweka wazi kuhusiana na Historia ya Maisha yake Kwa kufanikiwa kupata (PhD) ya uzamivu baada ya kufaulu mtihani wake wa mwisho kwenye masuala ya sanaa Hivyo kwasasa Claudia...
  3. Kasomi

    Wendy Okolo Mwanamke wa kwanza Mweusi kupata Shahada ya uzamivu (PhD)

    Wendy Okolo ni mhandisi wa anga mwenye kipaji kutoka Nigeria, ambaye ameweka historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza mweusi kupata shahada ya uzamivu (PhD) katika uhandisi wa anga kutoka Chuo Kikuu cha Texas huko Arlington mwaka 2015 akiwa na umri wa miaka 26. Safari yake ya kielimu ilianza Lagos...
Back
Top