Advertise here

sheria

  1. Kasomi

    Majina ya Vijana waliochaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT Kundi la Lazima (Mujibu wa Sheria) Mwaka 2026

    Majina ya Vijana Walioteuliwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT Kundi la Lazima (Mujibu wa Sheria) Mwaka 2026 Shule Mbalimbali. Bonyeza hapa kisha ingiza jina la shule au namba ya shule, harafu bonyeza palipo andikwa Angalia Waliochaguliwa iliyopo upande wa kulia
  2. pius pius

    Sheria zisizo na meno na uongozi unaolinda wahalifu.

    Rushwa, kama tatizo la kikanda, bado ni “moja ya vikwazo vikuu vinavyodhoofisha maendeleo ya muda mfupi na mrefu” barani Afrika (IG, 2021). Kila serikali katika Afrika Mashariki inaathirika na dalili za rushwa katika sekta zote; rushwa katika sekta binafsi haidhibitiwi ipasavyo, na taasisi za...
  3. Kasomi

    Madeleka: Unaijua zaidi Sheria ya uchawi?

    Wakili Peter Madeleka anatukumbusha kuwa Sheria ya Uchawi (The Witchcraft Act), Sura ya 18 ya Sheria za Tanzania ni sheria inayodhibiti masuala yanayohusiana na imani, vitendo na madai ya uchawi nchini. Kwa kifupi, sheria hii haikubali wala kuhalalisha uchawi, bali inalenga kuzuia madhara...
  4. Kasomi

    Sheria ya kwanza kwenye kitabu cha 48 Laws of Power cha Robert Greene kinasema Never Outshine the Master yaani Kamwe Usiwahi kumfunika bosi wako

    Sheria ya 1 ya kutoka kwenye kitabu cha "48 Laws of Power" kilichoandikwa na Robert Greene inasema "Never Outshine the Master" yaani kamwe ( Usiwahi kumfunika bosi wako) Kamwe usijaribu kuonekana una akili, uwezo, au mafanikio zaidi ya mtu aliye juu yako, iwe ni bosi wako kazini, kiongozi, au...
  5. Kasomi

    Mtandao wa Telegram Umekuja na Sheria Mpya kwa Public Groups, Channels na Chats Mbalimbali

    Je, Wafahamu kuwa Mtandao wa Telegram Umekuja na Sheria Mpya kwa Public Groups, Channels na Chats Mbalimbali? Yafuatayo ni Mambo Machache Ambayo kila Admin anayesimamia Public Group/Channel Anapaswa kufahamu ili Kulinda Group, Account au Channel yake. Fahamu haya Machache: 🚀 Ikiwa Member...
  6. Kasomi

    Sheria na vigezo vya kuweka matangazo kwenye jukwaa hili

    Sheria na vigezo vya kuweka matangazo. 1- Weka bayana maelezo ya Bidhaa husika inayo uzwa yaani sifa yake. Mfano Bidhaa ni mpya au imetumika na sifa nyingine kama aina, uwezo, bidhaa ilipo n.k 2- Muuza anapaswa kuweka mawasiliano jinsi ya kumpata, mawasiliano ni pamoja na mawasiliano binafsi...
Back
Top