Kasomi
JT Founder
Sheria na vigezo vya kuweka matangazo.
1- Weka bayana maelezo ya Bidhaa husika inayo uzwa yaani sifa yake.
Mfano Bidhaa ni mpya au imetumika na sifa nyingine kama aina, uwezo, bidhaa ilipo n.k
2- Muuza anapaswa kuweka mawasiliano jinsi ya kumpata, mawasiliano ni pamoja na mawasiliano binafsi (hiyari), eneo alipo muuzaji yaani bidhaa inapopatikana, n.k
3- Viungo vya matangazo (Advertising Hot Links) haviruhusiwi mfano blog, website, na kurasa za mitandao ya kijamii.
4- Anzisha uzi mmoja tu kwa Bidhaa ya aina moja, hivyo ukiuza bidhaa nyingine ya aina hiyo weka kwenye comment ya uzi wako.(Matangazo yanayo jirudia yataunganishwa au kufutwa)
MUHIMU: Kuwa makini unapo nunua bidhaa iliyotangazwa humu na utapeli wowote utakao fanyika JamiiTalk haitohusika kwa lolote.
Pia Matangazo ambayo hayakidhi vigezo vyetu vya matangazo au kukiuka sheria za JamiiTalk na nchi au jumuiya kwa ujumla yataondolewa haraka iwezekanavyo.
Kwa Matangazo ya Biashara ya kulipia (premium Ads) wasiliana na @JamiiTalk ili upewe ruhusa ya kutangaza