IAA YANG'ARA SHIMIVUTA 2025
Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimeibuka kidedea katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo kwa Vyuo vya Elimu ya Juu (SHIMIVUTA) mkoani Tabora.
Katika mashindano hayo IAA imefanikiwa kutwaa makombe 11 , moja likiwa ni la mshindi wa jumla (overall winner na 10 ni ya...