Kasomi
JT Founder
IAA YANG'ARA SHIMIVUTA 2025
Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimeibuka kidedea katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo kwa Vyuo vya Elimu ya Juu (SHIMIVUTA) mkoani Tabora.
Katika mashindano hayo IAA imefanikiwa kutwaa makombe 11 , moja likiwa ni la mshindi wa jumla (overall winner na 10 ni ya ushindi katika:-
1. Netball- (mshindi wa pili)
2.Volleyball-wanawake(mshundi wa kwanza)
3. Basketball wanawake- (mshindi wa pili)
4. Handball wanawake- mshindi wa kwanza
5. Bao wanawake- (mshindi wa kwanza)
6. Karata wanaume -(mshindi wa tatu)
7. Drafti wanawake-(mshindi wa kwanza)
8. Pool table wanaume-(mshindi wa wa pili)
9. Kukimbia kwa Gunia wanawake(nafasi ya tatu)
10. Riadha (mshindi wa kwanza)
RIADHA
1. Mita 100 wanaume -nafasi ya pili
2. Mita 200 wanaume- Nafasi ya kwanza
3. Mita 200 wanawake - Nafasi ya kwanza
4. Mita 1500 wanaume - nafasi ya kwanza
5. Mita 1500 wanawake -nafasi ya pili na ya tatu
6. Mita 5000 wanaume- Nafasi ya kwanza
7. Relay wanawake - Nafasi ya kwanza
8. Kukimbia kwa Gunia wanawake-Nafasi ya Tatu