shule

  1. Kasomi

    Haya Hapa Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026

    Kuona Orodha Ya Wanafunzi Waliopangwa Kwenda Shule Moja Chagua Mkoa Ulikosoma BOFYA HAPA
  2. Kasomi

    Shule 10 Ghali Zaidi Afrika, Namba Moja Itakushangaza

    Inawezekana uwa unajiuliza ni zipi shule ghali zaidi Afrika kwa kipindi kirefu sasa, Usijali leo tunakujuza shule kumi ghali zaidi katika ukanda wetu wa Afrika pamoja na Ada zake; 10. American international school, Zambia (annual fee 22,070$) Shule ya Kimataifa ya Marekani ya Lusaka (AISL) ni...
  3. Kasomi

    Maelekezo Ya Kujiunga Na Shule Ya Sekondari Bugando Halmashauri Ya Wilaya Ya Geita Kidato Cha Tano Mwaka 2024/2025

    MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI BUGANDO HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA KIDATO CHA TANO MWAKA 2024/2025. 2. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA: 1. SARE ZA SHULE. (a) Sare ya shule hii ni mashati mawili (2) meupe ya tetron yenye mikono mirefu. (b) Suruali mbili(2) rangi ya kijivu giza zenye...
  4. Kasomi

    Nini kilikupa umaarufu shuleni? (ulikuwa maarufu shule kwa sababu ulifanya nini)

    Nini kilikupa umaarufu shuleni? (Ulikuwa maarufu shule kwa sababu ulifanya nini.) Leo tujadili nini kilifanya uwe maarufu shuleni iwe shule ya Msingi, sekondari (O level au A level) au Chuo Tupe Sababu ya hicho kilichofanya uwe maarufu. Tupe Sababu za wewe kufahamika shuleni kwenu ulikua Mtundu...
Back
Top