Nini kilikupa umaarufu shuleni? (ulikuwa maarufu shule kwa sababu ulifanya nini)

Kasomi

JT Founder
Nini kilikupa umaarufu shuleni? (Ulikuwa maarufu shule kwa sababu ulifanya nini.)
wanafunziiiii.jpg

Leo tujadili nini kilifanya uwe maarufu shuleni iwe shule ya Msingi, sekondari (O level au A level) au Chuo
Tupe Sababu ya hicho kilichofanya uwe maarufu.
Tupe Sababu za wewe kufahamika shuleni kwenu ulikua Mtundu au Mpole sana au Mkorofi sana au ulifanya tukio gani likakupa umaarufu.
1578884012-viboko-1.png
simu-shuleni.jpg

NB : mjadala huu hautofungwa bali utaendelea Muda wote
 

Similar threads

Back
Top