Shirika la usafiri wa umma mjini Wiesbaden, magharibi mwa Ujerumani, limeitaka polisi kumshtaki kijana wa miaka 15 aliyedaiwa kuiba basi na kumpeleka mpenzi wake umbali wa kilomita 130 hadi shuleni mjini Karlsruhe.
Mkuu wa kampuni ya mabasi ya NVG, Jörg Martini, aliliambia shirika la habari la...
Nini kilikupa umaarufu shuleni? (Ulikuwa maarufu shule kwa sababu ulifanya nini.)
Leo tujadili nini kilifanya uwe maarufu shuleni iwe shule ya Msingi, sekondari (O level au A level) au Chuo
Tupe Sababu ya hicho kilichofanya uwe maarufu.
Tupe Sababu za wewe kufahamika shuleni kwenu ulikua Mtundu...