siri

  1. Kasomi

    Amchoma kisu Mkewe kisa anatumia ARV kwa Siri

    HABARI Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia mwanaume mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa, mkazi wa kijiji cha Tingi kilichopo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumjeruhi mke wake kwa kumchoma tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Kamanda...
  2. Kasomi

    Akutwa Gesti na Sehemu ya Siri ya Mwanaume

    Mwanaume anayefahamika kwa jina la Kelvin Mdolo (42) mkazi wa wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, amekutwa kwenye nyumba ya kulala wageni (Guest) akiwa na kipande cha sehemu za siri ya mwanamke na alipohojiwa na Jeshi la Polisi amedai kuwa huwa anakitumia kiungo hicho katika shughuli zake za uganga...
  3. Kasomi

    Siri 15 ambazo Mwanamke hawez kukuambia kamwe

    SIRI 15 AMBAZO MWANAMKE HAWEZI KUKUAMBIA KAMWE; 1. Ikiwa anakupenda kweli, atafanya mambo kuwa rahisi kwako. Hakuna udhuru, hakuna michezo ya akili - utapatikana. 2. Tayari anajua ikiwa atalala na wewe au la. Acha kufikiria unaweza "kumshawishi"; yeye Aliamua zamani. 3. Anakujaribu bila wewe...
Back
Top